Tuesday, 30 September 2014


Tutawakumbuka viongozi wetu wastaafu wa FEMA hapa Iringa Zoo. Poa mkajitolee huko uraiani na mtukumbuke


Mwalimu mlezi wa Iringa Zoo Fema Club Mwl.Gaudence John Mhando


Wa kwanza kutoka kushoto ni makamu mkuu wa shule Mwl.Kabula, katikati ni mgeni rasmi ni lecturer kutoka Iringa University na wa mwisho ni mkuu wa shule Iringa Girls Mwl.Msigwa wakumsikiliza kwa makini mwenyekiti wa Iringa zoo Fema Club Haika (Hayupo pichani) akieleza mikakati ya club ya Fema hapa Iringa Girls

Miongoni mwa mabango ambayo yalionekana kwenye chumba cha maonyesho cha Fema siku ya Academic and Carrier Day. Mchoro ambao wameutoa kwenye jarida la July-September 2014 uk.57 na mchoraji akiwa ni katibu wa Iringa Zoo Fema club Honoratha Gutram

Mwenyekiti Haika, katibu wa kwanza kushoto Honoratha na Mhazini wa kwanza kulia wakieleza mambo ambayo Fema inayafanya hapa Iringa Girls kwa mgeni rasmi ambaye haupo pichani siku ya Academic and Carrier day

Baadhi ya Members wa Iringa Zoo Fema Club wakifurahia siku ya Academic and Carrier Day Iringa Girls Secondary School